Diamond Platnumz afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

buy generic accutane uk

http://danstwothings.com//everyday-anna-tunnicliffe/ Mwanamuziki Diamond Platnumz na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Makzi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza shauri linalohusu matunzo ya mwanao.

Katika kesi ya msingi, Mobetto alimfikisha Diamond katika mahakama hiyo kitengo cha watoto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto.

Mwezi Oktoba 2017 Diamond alipewa wito wa kwenda mahakani uliowasilishwa kwake na mawakili wa Mobeto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.

Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na kutompa matumizi ya mtoto kwa takribani miezi miwili.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*