Itazame hapa historia ya maisha ya mwanamuziki mpya wa WCB – Mbosso

http://sandiegoapartmentsforsale.com/?cat=103

Msanii Maromboso ambaye hapo awali alikuwa katika kundi la Ya Moto Band, kundi ambalo lilitikisa sana na nyimbo zao ikiwemo Ya Moto, Niseme na nyingine nyingi, ametuletea historia ya maisha yake alivyoianza safari ya kimuziki mpaka alipofikia sasa.

Kwa sasa, mbosso yupo katika lebo ya kundi la WCB Wasafi ambalo Raisi wake ni Diamond Platinumz, msanii ambaye amekuwa na mafanikio makubwa sana ya kimuziki.

enter site Bofya hapa chini kuitazama safari ya kimuiki ya Mbosso

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*