Tibaijuka afunguka kuhusu kumteka Mgombea wa Udiwani wa CHADEMA

buy prednisolone eye drops online

http://evalfor.com/category/business/ Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka amefunguka na kusema kuwa CCM hakihusiki kivyovyote vile na kutekwa kwa mgombea wa Udiwani wa CHADEMA Kata ya Buhaganza , Nelson Athanas ambaye alipatikana Februari 5, 2018 akiwa hajitambui.

Mgombea wa udiwani Kata ya Buhangaza, Muleba (CHADEMA), Athanasio Makoti aliyekuwa amepotea tangu Februari 2, 2018 alipatikana Februari 5, 2018 akiwa hajitambui, CHADEMA imesema alitupwa barabarani maeneo ya Hospitali ya Kagondo na sasa aendelea kupatiwa matibabu.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*